Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama bado una UCHU wa NANIHII,...

>> Wednesday, July 13, 2011

.....hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke!

Swali:
  • SI unajua ukikatatamaa utakuwa vuguvugu na nasikia WALE vuguvugu IMEANDIKWA hawataurithi ufalme ?

Hayahaya MKUU ,...
... hangaikiahangaikia kinachokuumiza kichwa MPAKA kieleweke!



Ni hilo tu katika kukumbushana na kutiana munkari ili gemu liendelee MHESHIMIWA!
KILA LA KHERI katika kutatua TATUZI MAISHANI mwako MKUU!

Moja kwa moja hebu tukutane na Staff Benda Bilili ,...
......bendi ya WALEMAVU kutoka CONGO ambayo kuna waliodhani haitafanikiwa kisa wanamuziki wake ni walemavu ambayo inauza karibu kila show Ulaya watukumbushe ukihangaikia italipa tu siku moja -katika WIMBO waongeleao kilicho walemaza ambacho ni -POLIO



KONONO No.1 aka L'orchestre folklorique T.P. Konono Nº1 de Mingiedi waingilie kwa - Wumbanzanga





Kabla tu Staff Benda Bilili hawajalainisha tena kwa -Marguerite



Kuwafahamu zaidi STAFF BENDA BILILI kongoli ,...


Na ukitaka kuwafahamu kidogo L'orchestre folklorique T.P. Konono Nº1 de Mingiedi aka Konono Nº1,.....
.... kongoli HAPA

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP