Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HISIA!

>> Friday, July 29, 2011

Hisia sio UKWELI
Lakini wakati UNAHISI labda uhisicho kihisia wakati huo ndicho KWELI


Na KWELI kama iko tu kama IMANI,...
..... KWELI yako labda ni tofauti na ya wengine hata kama HIYO sio IMANI

Kwa hiyo labda UHISIVYO,...
....ndio UKWELI kwako hata kama wengine tukikokotoa UKWELI hautupi AMANI.

Na uhisicho na kukiamini labda ndio siri ya yako AMANI!:-(


NI wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Miguel Jontel Pimentel arudie-Quickie




Miguel Jontel Pimentel arudie pia -My Piece




Au tu huyuhuyu Miguel Jontel Pimentel amalizie kwa -Be My Vixen


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP