Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UDINI HAUWEZI KUFUMBIWA MACHO!-na Novatus Kambota

>> Monday, July 11, 2011

Ndugu yangu !

Naomba sana angalau na wewe uunge mkono mapambano dhidi ya udini ulioanza kujitokeza Tanzania, kwa kweli serikali haionyeshi kuwajibika katika hili , polepole hali inazidi kuwa mbaya, naamini unaweza kupangilia hoja na ukakaripia huu msuguano wa ukristo na uislamu nchini Tanzania .

Tafadhali tusaidie- UDINI HAUKUBALIKI HATA KIDOGO.
-Nova Kambota.

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP