Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati nahamu ya kutaka kusingizia kuwa chanzo cha WAMACHINGA Tanzania ni RAIS MWINYI na RUKSA zake!

>> Wednesday, July 06, 2011

Ndio,..
.... ukitaka kumsingizia MTU ,...
.... utapata wa kumsingizia kitu kiwezacho kufanya MIMI nikamsingizia Rais KIKWETE,...
...Rais Kikwete akamsingizia Rais MKAPA,...
... Rais Mkapa akamsingizia  Rais MWINYI,...
... Rais Mwinyi akamsingizia Rais NYERERE,...
..... Rais Nyerere akasingizia WAKOLONI,...
.... WAKOLONI wakasingizia uzembe wa WAAFRIKA,...
.... halafu  WAAFRIKA wakasingizi mpaka kuwa ni ,...
.... ni MAPENZI ya MUNGU tu ndio yasababishayo kuwa WENGINE ni WAMACHINGA!:-(

Swali:
  • Umesikia kunavurugu MWANZA leo  lihusulo WAMACHINGA na POLISI?
  • Kwani unafikiri ni nini sababu hasa izalishayo UMACHINGA?


Nawaza tu hapa MKUU,...
...huku nikiwa na wasiwasi swalahili linamizizi MBALI SANA na kitu RAHISI ,...
.... ukizingatia kuwa wanyonge wakimshindwa MBABE huwa wanamchezo wa KUBWENGANA wao wenyewe!:-(




Hebu Thione Seck aturudishe madrasa kwa - Rassoul




Au hebu Ami Colle arudie- Rassoul




Au tu hebu Ami Colle aje - Live

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP