Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna haja ya WATANZANIA wadhaniao TANZANIA ni nchi ya AMANI kufikiria UPYA!

>> Thursday, July 07, 2011

Swali:

  • Umestukia jinsi  kila kukicha inavyozidi kuwa kitu cha kawaida kusikia WANANCHI wameuawa na vyombo vya SERIKALI yao TANZANIA?
  • Umestukia  jinsi  hata  kuwa na amani majumbani kuwa MAJAMBAZI hayatavamia ni  swala la HADITHI TU za ZAMANI   siku hizi TANZANIA ?

  • Hivi kwani AMANI ni NINI kama nchi isifiwayo kwa kuwa na amani wenye amani WANAHESABIKA kwa ukiduchu wao?


NAWAZA tu kwa SAUTI!:-(


Hebu tubadili wazo kwa kucheki ngoma ya MAPIKO kwa msaada wa MIchuzi Blog,...
... katika wimbo Lishesho na Mchakasha



Au tu F.Sonik wabadili kabisa kwa kinu - Sindimba

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP