Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAISHANI kuna waogopao MAITI na ambao kikazi ofisi ni MOCHWARI!

>> Wednesday, July 27, 2011

Na kama ilivyo kwenye UCHAWI,....
....... kuna wauogopao na kuna ambao ndio HOBI zao!:-(


TUNAKUMBUSHANA tu MHESHIMIWA!:-(

Hebu Osibisa warudie - Fire

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 4:26 pm  

Mkuu nimekupata mkuu, usinione kimiya nimebanwa kwenye kona nadungwa kama sijui ngumi,...yote ni kutafuta ili watoto wapate kwenda choo...! tupo pamoja mkuu!

Simon Kitururu 10:42 am  

Pamoja sana M3

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP