Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ladha YAKO labda ni siri ya MAIMUNA FULANI kupendwa NAWE na sio kiutamu aupendao FATUMA!:-(

>> Sunday, July 24, 2011

 Kwa kuwa yawezekana akufaaye ni FATUMA,...
...... ingawa LADHA yako inafanya MAIMUNA ndiye akuvutiaye!:-(

Swali:
  • Si unajua labda hata kisiasa za TANZANIA na kimasilahi kama misingi ya karibu kila kitu mpaka kibiashara za viatu vya MCHAGA KAJITAHIDI  labda CUF  ndio ikufaayo ingawa kiladha unavutiwa na CHADEMA?
  • Si unajua LADHA kiutamu ndio isababishayo UJEMADARI  wa MTU  kudharau mapungufu ya MTU kitu kifanyacho labda kila mtu anawake BOMBA tu hapa duniani kwa kuwa kivyake ananoga?


LADHA!

Ndio,...
... labda hiyo ndude LADHA ndio ifanyayo,....
...... wengine siye wenye sura kama kiatu usichokipenda kuna atupendaye pia kitu KIKUSHANGAZACHO!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(

Hebu twende UGANDA tena FRANKIE JOE RUKUNDO na KIDUMU waongelee-Kipenda ROHO


Halafu  Anthony David aanzishe tena upya  kwa -Something About You





Au tu Anthony David aje na India Arie katika - Words

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP