Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika UFUNDI ikionjwa na kuaminika sio tamu kwa ABDALLAH!

>> Monday, July 11, 2011

Kuhitimisha labda ni MCHEZO mbaya,...

... kwa kuwa ahitimishaye kuwa makande sio matamu kwa kuwa yana chumvi,...
..... anaweza ikawa tu ni kwa kuwa AKILINI kashajifunza MAKANDE matamu ni yale yenye SUKARI!:-(


Swali:
  • Si labda ile TAMU kwa ABDALLAH labda kiutamu kwa YUSUFU ni chungu au tu kimaharage basi kiladha maharage hayo yamechacha?

Ndio,...
.... labda chungu yako,...
... kwa ABDALLAH FULANI kwake ni TAMU!:-(

Na ni wazo tu hili MUUNGWANA!:-(



Hebu ZIKE aingilie kati kwa-Flagrant Delit



ZIKE atulize tu zaidi kwa -Gneze Moule




Au tu MEIWAY afunuezaidi tena  tuchungulie -DJ Tassouman



Ili  tu Dj Caloudji amalizie mtulizo kwa  - Sentiment Moko

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP