Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa kwa MTU MMOJA hakuna staili zaidi ya MOJA ya KUZALIWA!:-(

>> Tuesday, July 05, 2011

 Mtu MMOJA ,...
...... na kuishi ni MARA MOJA!

Swali:
  • Si wakumbuka kutunza angalau afya yako mkuu kwa kuwa mchezo wenyewe huu wa MAISHA hapa duniani kwa ushahidi usiowa kiimani  yaelekea mambo ni mara moja halafu inatoka hiyo?





NDIO,...
.... kwa MTU mmoja ,...
.... hata kipengele cha kutokwa roho kistaili huwa ni kiaina MOJA!


 Naendelea kuwaza!:-(


Hebu Simaro Massiya Lutumba aingilie kati na kubadili kwa - Pablo



Au tu na  Vyckos Ekondo aongelee - Noaghona

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:03 pm  

Mhh, mkuu, ngoja nikale kwanza maana sasa ni lunch time! Lakini tupo pamoja!

Rachel Siwa 9:22 pm  

Ndiyo kaka ni mmoja mmoja,kuzaliwa maramoja,kufa mara moja,mapenzi ya wake 2 si yakweli pia ni kwammoja yatazidi!!!!!!Moja ndiyo namba au... hata mimi nilizaliwa tarehe 1!!!!!
PaMoja!!!!!!

Simon Kitururu 7:42 am  

@M3: Nimatumaini yangu lunch ilikuwa bab kubwa!

@Rachel:Comenti yako imekaa kishairishairi unajua!:-)

Ila unauhakika kuwa mwenye mke mmoja ingawa labda kimahitaji ya hali na mali- zaidi ya MKE mmoja labda ndio mahitaji?

Si nasikia hata kwa wanawake mwenye shamba hata kama hilo ni MUME ,.. labda anahitaji BUSTANI ambayo ni kidume mwingine?

Rachel Siwa 5:56 pm  

Hahhahahhaahaa@kaka wamimi nidhamini niingie Studio!!!maana siku hizi muziki ni msitu, mwenye kuchimba dawa haya,kujisaidia sawa.....

Mke mmoja ndiyo mwake kaka, wengi hizo tamaa au kutaka kuonjaonja,

Duh kibustani noma kaka,kwani maji yakumwagilia hakuna,Shamba litagemea mvua kwa sana,Mume na Mke kaka!!!!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP