Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ukiogopa,...

>> Saturday, July 16, 2011

 ..... hata visivyoogopesha HUTISHA aisee!

Swali:
  • SI unajua labda sasa hivi vilivyokuzunguka usivyoviogopa ni kwa sababu tu HUVIOGOPI ndio maana havikutishi?

Ndio,...
... labda vile ambavyo HAVIKUTISHITISHI,...
.... na havikubabaishi,...
.... siri yake ni  ulivyotyuni tu UBONGO kisaikolojia ,...
.....kwa kuwa haki ya nani tena BIBI kizee yuleyule afananaye na BIBI ya mtu USIYEMUOGOPA ukikaa mkao wakuogopa VIBIBI VIZEE kimkao wa kudhania ni vichawi,...
... BIBI KIZEE mwenye roho nzuri tu na HURUMA anaweza geuka kuwa anatisha ,...
..... kitu kifanyacho kuna baadhi ya watu wanamchezo wa mpaka kuua VIBIBI vizee kisa ni VIZEE mikoa fulani TANZANIA!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(





Turudi Uganda tena ili Radio & Weasel wa- Talk



Au tu Bembeya Jazz National warudie-Mami Wata




Kabla hawajarudia na -Whisky Soda

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP