Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika nanihii zaidi: Forest Whitaker - Inside the Actor's Studio

>> Tuesday, July 19, 2011

Deku tu mkuu kama una muda,...
... sasa mimi nifanyeje?











Hii ni nanihii tu MKUU!:-(

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 8:34 pm  

La! Safi sana, Mkuu! Na wengi wanadai eti Idi Amini alikufa kumbe kumbe hakufa kabisa bali amebadilisha jina na nchi tu na yeye sasa ni "Last King of Scotland" Forest Whitaker wenye makazi huko Amerika!

Rachel Siwa 8:59 pm  

Nime Deku kaka wamimi,huna cha kufanya!!umaukumbuka ule wimbo ulikuwa ukiimbwa hivi, Hao wenye kukaanga mbuyu waachie wenye meno watafuneee,sijui uliimbwa na nani pia sijui Uliku na maana Gani,pia na hizo mbuyu nini au Mti wa mbuyu unaotoa Ubuyu,nasijui kama ulikuwa ukisikiliza Radio TZ!!!!NIMEWAZA TUU!!!!!!

Simon Kitururu 7:38 pm  

@Mkuu Goodman: :-)

Na nashukuru umerudi kuna masiku kadha nilimisi busara zako mtandaoni!

@Rachel:Huo wimbo naukumbuka ingawa sijui nani aliuimba! Ngojea niutafute!

Na asante Dada wa MIMI kwa kutonichoka hapa kijiweni!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP