Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kamuacha MSENGE wake kafuata MDUNDIKO!:-(

>> Sunday, July 03, 2011

Swali:

  • Kwani kwa spidi ya kiitwacho UJANJA hata ndani ya wadhaniwao  ni WAJANJA Tanzania unafikiri ``Kamuacha MKE wake kafuata MDUNDIKO ´´ haiwezi kugeuka ``Kamuacha MSAGAJI wake  kafuata pochi kwenye  MDUNDIKO?``


NI wazo tu hili lililokaa KIJUMAPILIJUMAPILI!
JUMAPILI NJEMA MHESHIMIWA!:-(


Na moja kwa moja labda hebu twende tena ZANZIBAR kugewa tena na OFFSIDE TRICK yule mnono-BATA



OffSide Trick na Bi Kidude watanue zaidi ndude kwa-Ahmada



Au tu Offside Trick na A.T wamalizie tu kwa kumuonea huruma -SAMAKI


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP