Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama HUJUI tafuta ANAYEJUA!

>> Sunday, July 03, 2011

Na kama UNAJUA,...
....labda fundisha MWINGINE unachojua!:-(

Swali:
  • Lakini si unajua kuwa kama HUJUI labda awezaye kupata jibu sahihi la usichojua inawezekana kuwa ni WEWE kwa kuwa idaiwao kuwa wanajua labda UJUAJI wao  ni kwa staili za  IMANI tu kuwa wajuavyo ndio KUJUA?
  • Si unakumbuka kuna wakati hapa DUNIANI wajuaji walikuwa ni wale waaminio DUNIA iko kama MEZA?

Ndio,...
.... labda vilevile kama HUJUI,...
.... labda unabahati kwa KUTOKUJUA,...
... kwa kuwa ungejua ungestukia kuwa chakula ulacho MPISHI alikipengea KAMASI!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
SHIKAMOO basi kama umenuna!:-(



Hebu DULLY SYKES arudishe-BONGO FLEVA



Au tu MAD ICE atulize tena kwa ndude-Te Amo




Au hebu turudi tu GABON ili Amandine atekenye kidude TENA kwa - Bissi Le Ba Leya

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP