Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SIMANZI!

>> Tuesday, July 26, 2011

......kama tu FURAHA,....
....... labda  ni vitu ambavyo huhitaji KUJILAZIMISHA!:-(

Swali:
  • SI inasemekana kuna wajisikiao noma kwa kuwa wako MSIBANI  na hawana HUZUNI?

SIMANZI!

.... na katika hilo kama UNAJILAZIMISHA,.....
..... inaweza kukusaidia kuonekana MTU mzuri  mbele ya wategemeao SIMANZI ,....
..... lakini MOYONI unajua MAREHEMU hakuwa mtu MZURI!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Bob Marley aingilie kati kwa - Running Away / Crazy Baldhead



Au tu hebu Bob Marley arudie tena - Concrete Jungle


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP