Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kujihakikishia MWENYE UBONGO kimitazamo anamiliki matumizi ya UBONGO wake!

>> Monday, July 11, 2011

 Wakati inasemekana unahitaji kuwa na KIPELE ili ukune KIPELE,...

.... ila  YASEMEKANA kuna waamuliwao na WENGINE  kuwa wanakipele na kipele hicho hata cha kufikirika  KIKUNWE au KUBINYWA!:-(



Swali:
  • Si unakumbuka labda kuna watu wengi hata wafikiriavyo ni matunda ya watakao wafikirie hivyo?
  • Si unakumbuka kuwa labda kuna wengi wenye UBONGO labda amilikie maamuzi ya UBONGO wao ni MTU MWINGINE?

Ndio,...
.... labda awazavyo MWANACHAMA,...
... yaweza kuwa sio YEYE AWAZAYE na ni matunda tu  ya CHAMA kinawazaje!:-(


Swali:
  • SI labda liwazavyo KANISA/MSIKITI wa KIPAGANI  yaweza kuwa matunda yake ndiyo tuonavyo awazavyo MPAGANI?
Ni wazo tu hili KAMANDA!

Hebu IJAHMAN akatizie denge kwa - Master of my Mind





Ijahman Levi aendeleze kwa -No Syndicate




Au tu Alpha Blondy asigine tena - Sweet Fanta Diallo



Kabla hajazima kwa- Idjidja


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 9:30 am  

Mkuu ndivyo ilivyo, `kufa kufaana..!'

Simon Kitururu 11:08 am  

Kufa kufaana kweli kabisa Kamanda!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP