Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hata MTU afumbe MACHO,.....

>> Tuesday, July 05, 2011

.... kama KITU kipo,...
.... HICHO kipo tu,....
.... hata kama KWA KUFUMBA MACHO ,...
.... hicho kitu kwa makusudi MTU hakioni!:-(

Swali:
  • SI afumbaye macho kwa MAKUSUDI labda ni kwa makusudi huyo MTU kuna kitu hakioni?
  • Kwani unafikiri kama kitu HAKIONWI ina maana hicho kitu HAKIPO?

Na kwa kufumba MACHO,...
.... yasemekana kwaweza kufanya aliyefumba macho asogelewe kirahisi na HATARI ambazo angekuwa kafumbua MACHO angestukia huo ulikuwa ni wakati wa kutoka BARUTI kwa kuwa kifumanizi mama mwenye nyumba anakuja na bonge la panga!:-(


Ni wazo tu hili MKUU!



Hebu Dexter Gordon arudie -Blue Bossa


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP