Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BARAKA ziletwazo kwa kuwa TUNATOFAUTIANA mitazamo!

>> Wednesday, October 14, 2009

Kumbuka PADRE angekosa kazi kama WATU wote ,....
.... wangeamini ni SHEKHE tu ndio apatiaye.:-(


Na labda WAKATI mtazamo wa jamii ulikuwa BAISKELI kiusafiri ni suluisho la wote,...
..... labda aliyekuwa anahangaikia kuvumbua gari ingawa AMBULANSI a.k.a NOLINOLI ingehitajika BADO si ndiye ingekuwa achekwaye?:-(
Swali zaidi kiduchu:
  • SI unajua labda KIBONGE angekosa MCHUMBA kama wote tungekuwa na MTAZAMO faraja TAMUTAMU hutunzwa tu na wenye kibodi CHEMBAMBA?
  • Hivi kwa KUKU, mwewe si ni HARAMIA wakati kuna wakati akili za MWEWE na MTU hazina TOFAUTI kwakukubaliana kuwa KUKU ni BONGE la kitoweo?
  • Kwa hiyo si tunakubaliana KUWA kuna wakati AKILI za KUKU na MTU hazitofautiani kwa ANGALAU kukubaliana MWEWE kwa kumendea VIFARANGA noma kweli?


NIMEACHA wazo MHESHIMIWA tuendelee na kazi tu!

Bado mawazoni na OSIBISA, pata kiduchu kama muda unaruhusu -The coffee song

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:30 pm  

Mmmmmmmhhhh:-(

Simon Kitururu 10:21 am  

@Yasinta: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP