Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ni kweli KILA MTOTO anaridhiki yake na labda HAKUNA azaaye HOVYO!

>> Thursday, October 08, 2009

Ndio , WAPO ambao katika shughuli wanafanya matusi kwa nia ya kufanya matusi na kustukia mchezo una mimba,...
.... na haki ya nani lengo la mchezo lilikuwa ni BURUDANI ingawa matokeo ya kiburudisho ambayo hayakufikiriwa kwanza yakazaa MIMBA.


Ukishangaa hilo ,YAWEZEKANA hujastukia kuwa hata WAFIKIRIAO KWANZA na kwenda mpaka MAKANISANI kusalia SALA na NIA na wajualo tu ni SALA na si kuimba,...
....haki ya nani ingawa WANAJUA lengo lao binafsi ambalo NI BINAFSI lililo nyuma ya kiwapelekacho KANISANI kusali , wanaweza wasistukie ibadani KIPELE WALICHOFUTA kukuna KANISANI KATIKA SWALA KIBONGE haligusiwi kwa machachari KANISANI na ukweli ingawa nia ilikuwa ni kusali, hali halisi ya kilichotokea KWA WAFIKRIO WANAELEWA ni wasiyoyaelewa KUYABOBEA kwa sala na sauti kama chura katika MPAKA nyimbo ZA wasiyoyaelewa NA sio tu WALICHOFANYA wafanyacho ni kuyasalia, bali PIA mpaka na nyimbo KUYAIMBA!:-(

NAKATIZIA WAZO hili Nyoko HAPA!:-(
Swali:
  • Unakumbuka hakuna binadamu ajuaye kiuhakika afanyayo leo yanaathiri nini kiuhakika kesho?
  • Unakumbuka kwa uhakika ukidhani kwa kufanyakazi utalipwa mshahara waweza kutostukia mshahara labda ni asilimia moja ya upatacho kwa kufanyakazi na labda asilimia kumi ya asilimia tisini na tisa zilizobaki za upatacho kwa kufanyakazi ni ukichaa hasa kama wewe bado UNAHISI WEWE BADO sio mwendawazimu?
  • Unafikiri hata mzazi mwenye mpango na watoto wake anauhakika na matunda ya mipango yake kwa watoto wake katika dunia hii ibadilikayo kama kinyonga kibonge?


Kumbuka hili ni wazo tu KIJEBA na wala usitishike!

Hebu Bob MALYA atukumbushe kuhusu watu katika -Who the CAP FITS




Autu Steel Pulse wadinishe TENA ujumbe katika- Chant a Psalm

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP