Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nakutakia KILA la kheri za jumamosi chooni MHESHIMIWA , kutoka kwangu MTAKATIFU Simon KITURURU!

>> Saturday, October 17, 2009

Mkuu nakutakia tu kila la KHERI ,...
.....upate choo CHAKUTOSHA leo JUMAMOSI!

Na, kumbuka chooni ukienda kwa heri,....
.....starehe zake huko kabla hujagongewa hodi ni zaidi ya KENDA na wala sio MOSI.:-(

Swali:
  • SI unakumbuka aendaye choo kwa kawaida HUWA kapata MLO?
  • Na si unakumbuka swala la mlo lina tatizo duniani kwa upungufu sasa hivi?

NI HILO TU kwa leo!
Tutakutana hapa JUMATATU kama sijafa na wewe upo katika mkao wa KUNITEMBELEA Mheshimiwa!

Ngojea lakini tupate JAZZ kutoka AFRICA kutoka kwa JIMMY DLUDLU atusaidie kuendeleza siku...
-POINT of VIEW


Au tu ngoja aendelee ....



TUKO PAMOJA MKUU!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:06 pm  

Jumamosi njema nawe pia Mtakatifu Simon. Na usisahau pia kwenda chooni na chungulia kabda hujaweka mzigo unaweza ukwa na mgeni:-)

malkiory 12:06 pm  

Mkuu Kitururu,unajua umebobea sana katika matumizi ya lugha ya kifasihi na kifalsafa, ambazo huwa zinanipa taabu kuweza kungamua ile hidden meaning. Matokeo yake nabakia kuambalia ile surface meaning ambayo hubaki kama burudani, si unajua tena sisi wengine watu wa natural sciences.

Kwa kweli hili la kwenda chuoni limenivunja mbavu. Lakini je kwenda chooni ni starehe au ni hitaji la kibailojia?

Simon Kitururu 6:50 pm  

@Dada Yasinta+Kaka Malkiory: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP