USHACHUNGUZA hasara za KUACHA UJINGA?
>> Thursday, October 22, 2009
Kumbuka,....
..... kuna pande tatu katika SHILINGI ndio maana unaweza UKAISIMAMISHA ikasimama ingawa pande moja huwa haizungumziwi kwa kuwa eti TU haina PICHA!:-(
Swali:
- Lakini unafuraha kwa kujua au unafarijika TU na shughuli nzima ya kutaka kujua utakacho kujua?
NI HILO TU!
Ngojea lakini BLACK UHURU waongelee wahitajicho tu ni -HappinessAu tudeku tu sura kadhaa za huzuni za Mtakatifu Simon Kitururu majuzi ya jana....








7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Hapiness:-(
@Dada Yasinta: :-(
Mt. Simon nimeogopa kuona hizo picha salama kakangu:-(
Kama kawa Mtakatifu Simon. Pamoja sana.
@Dada Yasinta: Salama tu Dada yangu , ningekuwa demu labda ingekuwa ni swala tu la kuwa mwezini ndio maana!
@Askofu Fadhy: Pamoja sana Mkuu!
Nashukuru kama u salama, Sasa kwa nini una huzuni!
@Dada Yasinta: Si unajua huzuni ni chachandu ya FURAHA?
Post a Comment