Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SAMAHANI WADAU WA BLOGU HII ya Mtakatifu Simon Kitururu kwa kutowepo falsafa za UjingaBUSARA mpya kwa siku kadhaa sasa!:-(

>> Tuesday, October 06, 2009

Samahani WADAU WOTE WA BLOGU HII kwa kutoweka KWANGU kijiweni !

Matatizo ya muda yamekuwa BOMBA LA MCHUMBA /Kimada kwa siku kadhaa SASA HIVI, lakini ntarudi fulu kublogu ndani ya wiki hii hii.

Nawatakieni BOMBA LA KHERI kwa yoyote mfanyayo na kama ni LENU nuio basi na yale mfanywayo!
TUKO PAMOJA!

Kama una muda tulia tu na Alpha Blondy kidogo na ntarudi baada ya muda kiduchu...

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 7:41 pm  

Mkuu tupo pamoja, tutakusubiri tu kama kawa na surprises

Yasinta Ngonyani 9:16 pm  

LAKINI WATU WENGINE HUWA WANAAGA WANAPOONDOKA ILI WENGINE WAWE NA TAARIFA KUWA UKO WAPI. kILA LA HERI

Fadhy Mtanga 6:58 am  

Nilikuwa naandaa mashtaka, lakini ulipoweka Alpha Blondy, umeniuwa kabisa.

nyahbingi worrior. 7:31 am  

amani mzee simon.

Simon Kitururu 4:49 pm  

@Wote: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP