A Taste of TANZANIA!
>> Thursday, October 22, 2009
Taro – Magimbi
I do feel very sad these days when I visit home (Dar Es Salaam). Because I have noticed that some of our staple foods are disappearing from the market. I do not see Taro (magimbi) in vegetable and food stands anymore,.....
....tekenya HAPA .....
........uendeleze kunogesha GIMBI.
KACHUMBARI
This is the one salad most Tanzanian kids know and love.Traditionally, raw cabbage is used for this dish. However, I prefer to first slightly fry the cabbage in a little extra virgin olive oil before using it in the.......
Kuendelea kunonesha KACHUMBARI tekenya HAPA
HAPA kwa,.....
....... DADA MIRIAM .....
...MIMI pananifundisha kweli kunogesha MSOSI
Dada Miriam Rose
Au ngojea tuache swala la MSOSI ili tubadili nchi ili LETTA MBULU atupe kitu....
-NOT YET Uhuru
AU LETTA MBULU akiwa na CAIPHUS SEMENYA aongelee-NOMALIZO
Au tu tena LETTA MBULU ili niache atupe tu ile kitu-KILIMANJARO
SAMAHANI wana NDOMBOLO ,Mdumange, SEBENE , Mugongomugongo,Mdundiko, BUKUTA JUU, SENDEMA,Emba la SASA, TAKO Mchilili, CHAKACHA, Lubogobogo, BONGO FLEVA, .....nk.
........SAMAHANI hii ilikuwa zamu ya Mwanamama LETTA MBULU kijiweni kimiziki!
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment