KWA aelewaye neno BINDUKI hutumiwa na amaanishaye BUNDUKI!
>> Tuesday, October 27, 2009
Kwa waelewao BINDUKI ni BUNDUKI,....
..... bado CHAKUSIKITISHA tu ni kwamba wengi wasahihishao LUGHA hainamaana ni kweli wanaelewa katika lugha KINACHOONGELEWA.:-(
..... bado CHAKUSIKITISHA tu ni kwamba wengi wasahihishao LUGHA hainamaana ni kweli wanaelewa katika lugha KINACHOONGELEWA.:-(
Na kama swala ni UJUMBE na si LUGHA wakati tunaongelea kwa nini binadamu kwa kumkabili BINADAMU wanahisi wanahitaji BUNDUKI,...
......kwa kawaida UJUMBE WA HOJA HUFIKA KWA MWENYE MACHALE hata kama lugha katika hilo hakuna mwenye kukumbuka KUIHARIRI KWA KUWA HICHO KWA KAWAIDA SI MUHIMU KAMA NI KWELI UNATATIZO na cha mwisho katika yote itakuwa ni kustukia kuwa mwenye BUNDUKI kaiita BINDUKI na kwa sababu hiyo wadai HUJAELEWA.:-(
Swali:
- Si unajua kwa kukosea tumizi la neno katika lugha unaweza kujikuta unaongea kiitwacho lugha ya kisasa?
- Si unajua kama unanjaa jinsi uelewavyo kirahisi umekaribishwa chakula hata kwa Kichina?
NI wazo tu hili Mheshimiwa OTHRONG'ONG'O na wala lisikutishe!
Hebu MANU CHAO atupe tena -BONGO BONG
Au tu adai-POLITIK KILLS
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Watu wa Somalia ndio wanaita Binduki. Usipokuwa makini utafikiri ni jina la kiongozi wa kikundi chao cha ugaidi
Watu wa Somalia ndio wanaita Binduki. Usipokuwa makini utafikiri ni jina la kiongozi wa kikundi chao cha ugaidi
@Mkuu CHIB: :-)
Post a Comment