Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KAMA wafu a.k.a marehemu WANAONA!

>> Monday, October 26, 2009

Basi kunauwezekano kuwa,....
....BINADAMU lukuki wanachunguliwa na NDUGU ZAO WAFU /Marehemu katika ya FARAGHA ya chooni au mpaka TU yale yamjazayo mtu MIMBA!:-(

Swali:
  • Baada ya kujua hilo huhisi labda inahitajika uongeze MACHEJO ya kumwaga kitendo hata kama unahisi huchunguliwi kwa kuwa umejifungia chobisi wakati wa tendo dukinaa?
  • Wakati unafanikisha unafikiri utasumbuliwa zaidi ukihisi ni MUNGU au ni NDUGU ZAKO MAREHEMU ambao wakati wanakula bisi mbinguni burudani yao ni kukuangalia ukionyesha maringo yako wakati unahisi UNAFARAGHA?
  • Kama unaamini kuna MUNGU na anaona yote, unauhakika unatoawapi jeuri ya kutokuwa na haya wakati wa kitendo ufanyacho siri HASA ukihisi BINADAMU KIBAO zisizo muhimu kama MUNGU hazikuoni?

NI WAZO TU Mheshimiwa na WALA USITISHIKE MKUU!


Au tu ngojea Bobby McFERRIN akumbushie-DON'T worry be HAPPY

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 5:23 am  

Dont worry be happy hata kama unachunguliwa. Kama mwenyewe hujijui kuwa unachunguliwa huna haja ya kuogopa unaendeleza tu libeneke..!

Simon Kitururu 8:00 am  

@Papaa Fadhy: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP