Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bonge la KIKOMBE lakini CHAI MBAAAYA!:-(

>> Friday, October 16, 2009

Ni kweli usipoangalia unaweza kutishika na KIKOMBE,...
....HASA ukisahau katika swala la kifungua kinywa kwa chai , CHA muhimu si kikombe bali CHAI.

Swali:
  • Ushawahi kushuhudia TOTO ZURIII halafu linakinaisha kwa tabia MBAAAYA?


Ndio labda ni kweli PIA utamu wa dagaa ni MAPISHI kwa hiyo DAGAA BAYA kuna waaminio unaweza bado ukalikata kichwa na kuliosha halafu baada ya kulikaanga likawa TAMU KUNOGA ingawa mie mwenzenu katika hilo sina uhakika!:-(
Na NIMEACHA!

Hebu kwa kurudisha ustaarabu kijiweni hapa Jerry Wonder atuimbie na SANTANA atupigie gita katika- MARIA MARIA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Faith S Hilary 12:56 am  

Chai mbaya na majani yake yananuka...naongeza tu...lol

Simon Kitururu 11:33 am  

@Candy1: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP