Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuhusu KICHWA cha MATAKO!

>> Saturday, October 24, 2009

Haki ya nani UKIFIKIRIA labda kila kitu,....
...kina SHINA, mzizi na sio KICHWA tu!:-(

Na ni kweli watu,...
.... wengi , huoanisha KICHWA na kijulikanacho ni kichwa ingawa MTU KIBAO huelewa ukiongelea YA YALIYOMKUTA aliyepata mimba kwa kuingizwa kichwa tu!:-(


Na labda UKIPENDA , kichwa WAWEZA KUKIELEWA KAMA ni bomba la pua katika ya mtu,...
....hasa kama CHA MSINGI ni kunusa katika HILI na umuhimu wa anusacho MTU unahitajika katika HILI , na katika hili na lile HILI halikwepeki na KWA HILO limekuwa KICHWA tu!:-(

Na wakati sasa hivi unajiandaa kutonielewa kinamna tu,...
...Kumbuka PAMOJA na yote AMBAYO BADO unadhani HAYANA KICHWA HAPA , chakushangaza labda bado nikikuuliza kwanini unasoma TARALILA HII , Bulicheka naye hawezi kushtuka UKIJIBU kuwa kilichokuvutia kusoma hii NANIHINO nacho kinaitwa ni CHA HABARI kichwa tu!:-(

Swali:

  • Si unakumbuka MHESHIMIWA asingekuwa anafikiria MATAKO ni nyezo wakaliazo watu HUGUNDUA maana ya MATAKO kwa KISWAHILI ni MAHITAJI?
  • Unauhakika unajua nini ni KICHWA kama HABARI, mtu, KISIMI na mwenye akili tani kadhaa vyote unaelewa ikiongelewa vyao VICHWA?
  • Kwa hiyo bado unanibishia Tako , HABARI, kikojoleo, UJINGA kwa kuwa vyote kwa staili tu ya kuvielewa ni ndugu kwa kuwa kwa vyote ukitaka kuelewa kinamna vina VICHWA?

NIMEACHA wazo MKURUGENZI na kama itakufurahisha unaruhusiwa tu KUKASIRIKA!!

Hebu tufuate ushauri wa DAKITARI na kupata dozi tatu za kurudisha ustaarabu kijiweni hapa kutoka kwa TP OK JAZZ.....

Dozi #1.Tress Impoli




Dozi #2. Maya


Dozi #3.Makambo eza minene

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP