Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa waniuliziao kuhusu MGAMBO wa HOTUBA za Mwalimu KAMBARAGE NYERERE mtandaoni!

>> Friday, October 16, 2009

Ni kweli kutokana na kitu nisichokielewa vizuri zinakatazwa kuwekwa MABLOGINI!:-(

......Dada SUBI wa Nukta 77......

..... na Profesa Masangu Matondo Nzuzullima wa matondo.blogspot.com.......
.....walioziweka bloguni kwao, NI KWELI wameambiwa ni MWIKO kufanya hivyo na wazitoe mtandaoni.

NI HILO TU nijualo KWA sasa !


Mimi ngojea nimsikilize Eddy Grant agusie kitu katika-Hello Africa

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 7:23 pm  

Hata mimi sikuwa najua

Yasinta Ngonyani 8:21 pm  

Hata mie sijulijua hilo

Faith S Hilary 12:42 am  

Mmh...that's weird

Chacha Wambura 8:27 am  

makubwa hayo sasa...labda wanaogopa zisijetumiwa katika ze utamu part 2...lol

Simon Kitururu 11:34 am  

@Wote: Habari ndio hiyo!:-(

Christian Bwaya 8:34 pm  

Hivi wananchi kusambaza hotuba za baba wa taifa lao ni kosa? Ningekuwa mimi ningesema kila mwenye blogu awe nazo!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP