Tuesday, October 27, 2009

Kama ni kweli UNAFIKIRIA unachokifikiria!

Unaweza KUSTUKIA ukifikiria,....
... kuwa kila mtu afikiriapo kitu maana yake WAKATI HUO hilo linawezekana KWA KUWA kuna ASICHOKIFIKIRIA!

Swali:
  • Kwani unauhakika kuna afikiriaye mambo mawili ndani ya sekunde HIYOHIYO moja?
  • Kwani unafikiri ni kawaida KUKIFIKIRIA unachokifikiria?
  • Unafikiri hupumzishi fikirio moja ndio maana la pili limeshamiri?


HILI Ni wazo tu MHESHIMIWA na KWA BAHATI MBAYA linaweza lisikusaidie mlo LEO!:-(



Au hebu MANU DIBANGO atupe kitu-African Battle



Au tu Manu DIBANGO adondoshe kitu alichokipiga mwaka1974-Super Koumba

4 kommenttia:

Fadhy Mtanga said...

Mbona muda huu mi nafikiria mambo mawili.
Mosi utamu wa huu ugali samaki naoufinya.
Mbili utamu wa blog hîi nayoisoma.

SIMON KITURURU said...

@Papaa Fadhy: Muda kitu cha ajabu ndio maana sekunde na dakika vyote ni muda!:-)

Miriam said...

Asante sana sana. Nilikuwa nataka huu mziki lakini nilisahau unaitwaje. Thank you dear,
Mingi love.

SIMON KITURURU said...

@Dada Miriam: Karibu!