Tuesday, October 27, 2009

SIRI!

SIRI inamchezo wakutokuwa siri kwa jinsi tu uifanyavyo ni SIRI!:-(

Kunauwezekano,...
.....MWISHO wa SIRI YA KITU ni utambuapo unataka HICHO kiwe SIRI!:-(

Swali:
  • Kwani hujastukia watu wengi tabia zao na MPAKA muonekano wao ni MATOKEO ya vita zao tu na waliyoyatambua na kuamua hayo ni SIRI?

  • Unajua kuwa kama siri yenyewe ni sura mbaya mdada anaweza akahakikisha anabomba la staili ya nywele halafu mwendo wake ni wa tingisha tako ili usibobee kumchunguza sura?

  • Unauhakika kuwa tabia nzuri mbele za watu sio KIFICHA SIRI tu cha ajihisiye anasura mbaya mbele za watu ?
  • Hufikiri kwa kujifanya unaakili ni staili tu ya kuficha yako ya kijinga ufanyayo ni SIRI?

NI WAZO TU HILI Mheshimiwa!:-(

Hebu Lagbaja arudie ndude iitwayo-GRA GRA



Au tu arudie ndude iitwayo-Skentele Skontolo

2 kommenttia:

Fadhy Mtanga said...

Siyo siri leo umeninogesha kimnogonogo cha unogo kunoga!

SIMON KITURURU said...

@Askofu Fadhy: :-)