Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

STORI ukiizoea KWA KUIPA MUDA,hubadilika makali KISTORI!:-(

>> Tuesday, October 13, 2009

Haki ya nani tena hata stori ya TISHA TOTO,....

.... inawezageuka MAKALI baada ya muda IKIPEWA muda na kuwa tu na UTAMU uwezao kumlaza mtoto kwa staili ya kumbembeleza IKIRUDIWARUDIWA na kupewa muda!



Swali:
  • Umestukia hata TUSI laweza kumgeuza mtu kama tu JINA LAKE MTU limgeuzavyo likizoewa?
  • UNabisha?

NIMEACHA!


AU ngojea Miriam Makeba abadili kwa kitu-PATAPATA

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP