Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Midadi na MDADI, na MIDADI ya mdadi!

>> Friday, October 23, 2009

[Tahadhari: Taralila hii sina uhakika na maudhui yake kama yanakufaa!:-(]


Ukiwa na MIDADI ,...
.....unaweza mpaka kupiga teke mtu kisa kwa kuangalia mpira tu kupiga kona unaigilizia.

Na ukijua akuvutiaye kapandwa MDADI,....
.... nawe unaweza jikuta unapandisha MDADI kwa kuwa tu mwingine anamdadi na umestukia.

Na kama tunajua UNAMIDADI ,....
.....tutaogopa kuangalia NDONDI kwenye kideo nawe usije nawe ukarusha ngumi kwa kuigilizia.
Cha kusikitisha ni kwamba kama umepandwa na MDADI,....
... yawezabakia kuwa ni siri yako ukifanya siri na mpaka KIPENDA ROHO wako mwenye tibabu USIPOANGALIA naye anaweza kutostukia.:-(

Swali:
  • Hujastukia watu wana MIDADI ya MDADI na ukianzisha hata staili ya KUPENDA kama tu ukianzisha kwenda chooni tu pembeni ya barabara BASI likisimama kuna watakao jisikia pia kwenda haja ndogo kichakani kwa kuigilizia?
  • Unauhakika MDADI WAKO sio midadi tu?
NIMEACHA na kumbuka hili ni wazo tu na wala hii sio BIBLIA au KAMASUTRA!:-(



Samahani nafuata ushauri wa daktari wa leo WA kupata dozi tatu za Barrington Levy

Dozi #1.Dont throw it all away


Dozi #2.Too Experienced



Dozi #3. She is Mine





Kamusi kiduchu ya kijiwe ya lugha banangenge kama ilivyotumika:
MIDADI= mwenye mdadi kwa kutazama kitendo kifanywacho na mwingine anaigilizia bila kujijua.

MDADI=hamu mchecheto, nyege baruti, au hamu tu maridhawa.

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 5:58 pm  

Kama mi nishikwavyo na mdadi wa kutembelea blog yako!

Simon Kitururu 3:09 pm  

@Askofu Fadhy: Duh na mimi nahisi unajua sio siri nina mdadi kweli wa kutembelea blog yako !

Na asante Mkuu kwa kutochoka kunitembelea.

Simon Kitururu 3:09 pm  

@Askofu Fadhy: Duh na mimi nahisi unajua sio siri nina mdadi kweli wa kutembelea blog yako !

Na asante Mkuu kwa kutochoka kunitembelea.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP