Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

katika KUJARIBU KUZICHUNGULIA tamutamu ZIOANISHWAZO na ETI KWASABABU TU JAMAA ni la kwanza KUFANYA!

>> Thursday, October 29, 2009

Kuna wajivuniao KWELI kwa kuwa ni WA KWANZA,.....
......mpaka usipokuwa mfikiriaji waweza kutostukia DUNIANI kuna mengi ukitaka kufaidi MGIDO basi weye usiwe wa KWANZA.

Kwa mfano, ukiwa wa pili na sio WA KWANZA,....
.....kama wewe ni mdadisi na unajua kuandaa shughuli kwa kumchunguza ALIYENANILII kwanza, UNAWEZA kujikuta shughuli nzima za ALIYEENDA MWEZINI KWANZA, kuwa Rais wa TANZANIA kwanza, KUTOLEWA bikira ya mbele ya NYUMA kwanza,KUPATA UKIMWI KWANZA,.......nk. wewe unazihimili vizuri kama huna mchecheto kwa kuwa kuna wa kumuangalia yaliyomkuta kwa KUNANILIHI kabla YAKO kwanza.:-(


Na nikijaribu kukuambia ukweli hasa wewe ujivuniaye kwa kuwa WA KWANZA,....
......kumbuka kila mtu hata kwa kuonja mwisho, hiyo ni KWANZA YAKE kama ndio anaionja hata ikiwa ni EMBE BOLIBO TU lakini NI kwa mara ya KWANZA.


Swali:
  • Hujastukia furaha nzima imfurahishayo mtu kwa kuonja KWANZA ni ya kisaikolojia tu na kama ingekuwa kionjwacho kinahisiwa kuwa na sumu , MTU KIBAO zingekwepa kuwa wakwanza kulamba NDUDE?
  • Lakini umestukia kuwa kama nia yako ni uwe wa kwanza halafu ukawa wa pili inauma kweli ingawa ukweli ni kwamba MAUMIVU YOTE HAYO yanaponzwa tu na tafsiri ya maana yake ni nini kwako kuwa WA KWANZA?

Kumbuka NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA na wala sikushauri kama nia yako ni KUONJA KWANZA usubiri mpaka mabingwa wakuonjee NANIHII ILE KITU UNAPENDA uitakayo iweyako yoteyote hata kabla hujaionja KWANZA!


DUH Ngojea NIACHE!

Lakini hebu twende KAMERUNI Sandra NKAKE akiwa na BOOSTER watusaidie kubadili hali ya hewa HAPA kijiweni kwa kitu-Sex FRIEND


Au tu SANDRA NKAKE aje tu live akikumbuka Kameruni kwa kitu-I Miss My Land

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP