Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UMESHIBA?

>> Thursday, October 01, 2009

Kuna wajazao tumbo,....
..... na kuna washibao!:-(

Na usipoangalia kwa kula labda unajaza TU tumbo,...
....wakati ukiangaliwa kiafya haupo miongoni mwa washibao.

Swali:
  • Si unakumbuka hata kwenye SWALA LA mimba kuwa usitishwe na mcheuo mkubwa wa shahawa wenye mbegu kitita kwa KUKUMBUKA kuwa ni moja tu MBEGU ihitajikayo kushibisha YAI ?
  • Au unafikiri lishe bora inahitaji ujaze tumbo?
  • Au weye unafananisha kujaza tumbo na KUSHIBA?


NALIKATIZA wazo HAPA MKUU na kumbuka ni wazo tu MHESHIMIWA Kibonge!
Na wala sipingi uwepo WA upungufu wa chakula CHOBISI na ukitaka naweza kukubali pia hakuna tofauti kati ya Kushiba na KUJAZA tumbo!
Baada ya kusema hivyo UMEFURAHI EEH!:-)

Tubadili hali ya hewa kwa kujikumbusha zilipendwa kwa msaada wa Barack Obama na Hillary Clinton



Au turudishe tu zilipendwa kutoka kwa CHICCO adai- We miss U manelo


Au tu Caiphus Semenya kwa kitu BAB K enzi zile kitwacho- Angelina

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:56 pm  

Kama ni kuwaza tu watu wanajua kuwaza. Na kazi ipo...:-)

Simon Kitururu 2:20 pm  

@Dada Yasinta: Kweli kabisa! Na kuwaza kungekuwa kunatenda watu wengi wangepata mimba!:-(

Fadhy Mtanga 7:40 pm  

We miss u manelo,
where are u?
Naipenda track hiyo mbaya mno.

Simon Kitururu 2:28 am  

Papaa Fadhy: Nahisi nyimbo nyingi nizipendazo nawe unazipenda hasa za miondoko ya Kisouth au Zouk kama za Oliver N'goma!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP