Nasubiri YAKUSHINDE nikucheke!:-(
>> Thursday, October 15, 2009
Kuna afikiriaye HIVYO sasa hivi ,.....
... na MLENGWA ni WEWE!:-(
TUNAKUMBUSHANA TU Mkubwa!
Swali:
- AU?
- Si unajua tena ROHO YA KWANINI kwa binadamu fulani ni KIBONGE halafu ina bomba la misuli kwa tizi la kila siku la kukusubiria uchemke MKUU?
NIMEACHA!
Hebu tubadili hali ya hewa kijiweni:
Kwa waaminio BINADAMU walikuwa NYANI unaweza kujikumbusha kuangalia binadamu walipotokea kwa kudeku matokeo yajitokezayo Nyani AKIZINI a.k.a KUFANYA uasherati.:-(
[Tahadhari :Ndugu Nyani anajifungua NA kama unahisi utakwazika usipige chabo!]
Kwa maana mijitu mingine kwa kupenda KULA chabo haiwezekani !LOH!-MONKEY baada ya tendo la ndoa
Au tu ngojea Kool & the Gang warudishe tena ustaarabu HAPA kijiweni kwa vitu-Ladies' Night na Jungle Boogie .Samahani kidogo kwa video ya hapo juu ya WATAKAOKUWA BINADAMU hapo baadaye kama tafiti za watu fulani ni za kweli.
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
wallai mtume hapo kijasho kimenitoka. Hii kali kweli
E bwana ndiyo.! Bonge la kinyundo,...!
Nyani....., macho yamenitoka pima, lakini mbona video haikumalizia wakati mtoto katoka!!
@Dada Yasinta: :-(
@Papaa Fadhy & Mkuu CHIB: :-)
Post a Comment