Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ufafanuzi hafifu wa swala limsibulo adaiye ''LEO na hamu kweli ya MWANAMKE!''

>> Friday, October 09, 2009

[Tahadhari: Swala limekaa mkao wa kikubwa kidogo kama weye BADO KINDA na WAZO linamakende a.k.a limekaa kidumedume katika mpindo .Usisome kama UNAHISI kuna uwezekano wa kukwazika HASA kama unaamini neno na matumizi ya UKE ni matusi !:-(]

Kumbuka swala zima la HAMU kwa kawaida yaliyomo kwenye hamu UJAZO wake tu huzidishiwa,...
..... mpaka wakati mwenye hamu na UKE TU anaweza MPAKA kudhani anahamu na LIMTU LOTE na akapoteza mpaka uelekeo kwa kuonyeshwa TU nyonyo zimpunguziazo konsentresheni za TIBABU AHITAJILO ambalo tokea mwanzo kihamu LILIKUWA ni UKE!:-(


Na jinsi binadamu imbidivyo awe mnafiki ili asije UTAMU kupunguziwa,...
... wakati katika LIMTU ZIMA anahamu tu na MATIBABU ambayo dawa ni uke, AKIKIRI KWA KIBONGE MWANANA MWENYE UKE kuwa juhudi za MWENYE UKE za kupendezesha mpaka SIDILIA itunzayo embe bolibo KIFUANI KWA MWENYE UKE hazithamini sana kwa kuwa KATIKA HAMU ZAKE TATU zitibiwazo na MTU , hamu yake haiko kwenye embe bolibo wala ng'ong'o kwa kuwa fikira zake ziko mkao wa kufikiria kwa nini kuna wapendao KULA KISAMVU na HALIHALISI SAA HIYO kihamu anapapara zimfanyazo HATA akimuangalia KIBOGOYO ataona KWENYE PENGO MWANYA na KWA KUKIRI HILO anaweza akanyimwa TIBABU ZIMA na kukosa yote kimserebuko wa SWALA DAKITARI ni UKE!:-(
Swali:
  • Ushawahi kuhesabu wakati unahamu na MTU ni mambo mangapi yaliyoko kwenye hiyo hamu ambayo yanakufanya uwe na hamu na huyo mtu?
  • Unajua unaweza kununua gari zima wakati hamu yako ilikuwa ni kusafiri tu na safari YENYEWE uiendayo kujinoma dawa ni kusafiri na basi?
SAMAHANI kwa wazo hili NYOKO Mheshimiwa na NIMEACHA!
Nakutakia IJUMAA na WIKIENDI NJEMA MHESHIMIWA!

Tubadili hali ya hewa kwa kumuangalia jamaa akimpga TWIGA


Hebu basi General Levy afafanue kwa kitu zilipendwa kiitwacho-Heat


Au tu General Levy abakie palepale na kitu-Hot Hot Hot

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:24 pm  

Mmmmhhhh!! duh! kazi ipo.

Simon Kitururu 4:48 pm  

@Dada Yasinta: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP