Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika USHINDANI si unajua ukishindanisha tutampata MPAKA ANYAYE VIZURI?

>> Saturday, October 24, 2009

Haki ya nani katika kila kitu,....
..... ukishindanisha kuna BINGWA!:-(


Cha kukumbuka tu ni kwamba katika kila kishindaniwacho kitu,....
..... kuna watu kwa hilo HAWAKO KATIKA SHINDANO na kwa hilo WAO ni MABINGWA.


Na kwa bahati mbaya KWA vya kila siku vitu,....
..... KILA MTU kuna ashindwavyo kila siku ,....
....na unaweza kusahau hilo kwa kuwa HATA KWA umjuavyo wewe MAHIRI KATIKA kitu KABUMBU kwa kuwa KWAKO YEYE kusakata kabumbu ni MARADONA na kwa KUWA UNAPENDA KABUMBU,.....


.... basi KWA KIRAHISI unawezafikiri labda HUYO mpaka kwa kula ubwabwa msibani, KUKUJIBU MASWALI YAKO YA MUUNGANO WA EAST AFRICA , au tu matatizo yako na HAWALA , anaweza akawa kunakitu anajua kukuzidi, NA yote ni kwa kuwa unaudhaifu wa kufikiri yeye kwa kuwa ukipendacho KABUMBU NI MAHIRI, basi yote atetayo yanabusara na yeye ni BINGWA.:-(

Swali:
  • Kwani hushangai kuna watu waaminio KIKWETE au Obama maswali wajuayo labda ni Profesa Sarungi ndiye mtaalamu?
  • SI unajua profesa wa CHAPATI , biskuti na KEKI vinaweza kumshinda ingawa vyote ni MLO?
  • Si unajua hata katika kushindwa kunaidaiwao wanashindwa vizuri KISTAARABU?
  • Kwani hujawahi kushuhudia ASIYEBINGWA kupenga kamasi?

NIMEACHA WAZO MHESHIMIWA na kumbuka hili ni wazo tu na MIYE sio NYERER!E

Ngojea tupate pambio kutoka kwa Tshala MUANA akiongelea-Banda YANGO



Au tu LOKETO watupe pambio iitwayo-Extra BALL

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP