Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Saikolojia ya penzi la MHESHIMIWA kwa HAUSIGELI!

>> Friday, October 16, 2009

Kwa kawaida katika penzi la MESENJA na BOSI kiendeleacho KISAIKOLOJIA ni swala la MWENYE nguvu KUMUONEA kibonde,...
..... kwa kuwa MHESHIMIWA hujua kuwa kwa asilimia kubwa HAUSIGELI hata wa OFISINI hawezi kirahisi kumnyima BOSI kinogeo.

Na kwa kuwa mpaka MAJEMADARI wakipenda mtu kisawasawa kwa huyo KIPENZI kirahisi kikauli hata MANJONJO huwa ni VIBONDE,...
.... wakishindwa gia hata ya KUMSABAHI KIPENZI AJUZA ,hawakawii kwenda nao kutafuta ambao kwao ni vibonde angalau wakachuje hasira zao za penzi kwa wang'ang'ania wasioweza kutoa nje ,YOTE ikiwa NI katika jitihada za angalau kutafuta AHUENI kuwa ingawa KITUNZA TAMU KUNOGA ni tofauti lakini angalau HASIRA na MFADHAIKO WA PENZI wameuchujia kwenye kinogeo.:-(

Tukiacha hilo;
  • Unauhakika wewe sio HAUSIGELI wa kiume kwenye lako PENZI?

NALIKATIZA WAZO HAPA Mheshimiwa na kumbuka ni WAZO TU na WALA USIPANDISHE MORI!

Nakutakia IJUMAA na WIKIENDI NJEMA Mheshimiwa!

Tulia basi tubadili kwa burudani kutoka kwa KIBONGE katika- My HUMP



Au tu K.M.C waje na- I'm not Drunk

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP