Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo la BINADAMU liko katika wake UBINADAMU!

>> Wednesday, October 21, 2009

Na BADO kuna uwezekano SULUHISHO la MENGI matatizo ya KIBINADAMU,....
.... liko katika jinsi TU alifikiriavyo tatizo BINADAMU!:-(

Swali:
  • Si unakumbuka tatizo la HAUNA hutokana tu na kwa kuwa unafikiri UNATAKA?
  • Si unajua kama ishu ni WALI,kwanza kabisa MCHELE WENYEWE hutafunika mbichi na pia SUKARI na CHUMVI vyote ni viungo vya wali kutokana na afikiriavyo mwenye MCHELE?

  • SI unakumbuka ukijinyima NYAMA makusudi unaweza mpaka kufarijika kwa kujiita VEJETERIANI?

NI wazo tu HILI MHESHIMIWA na unaweza tu kuendeleza kula UGALI WA MUHOGO tu kwenye sikukuu kama hushibishwi na WALI!

Hebu Mwanadada AYO adai -Help is Coming


Au tu Mwanadada huyu huyu AYO adai-ONLY YOU

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:18 am  

Kazi kwelikweli:-(

Simon Kitururu 9:22 am  

@Dada Yasinta: :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP