Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jinsi STAILI ya kuelewa BIBLIA ILEILE MOJA iwapavyoshida WAKRISTO kujikita katika kanisa MOJA!

>> Tuesday, October 13, 2009

Kwa binadamu swala zima la kuelewa maandishi ni BOMBA la MAZINGAOMBWE,...

.... mpaka katika hadithi hiyohiyo imhusuyo SUNGURA na FISI ukiwadadisi waisomayo utastukia kuna walioelewa mpaka staili za kurembua kwa BATA wakati bata hawajatajwa kwenye HIYO stori ya SUNGURA na fisi.

NAKATIZIA WAZO hapa KITAKATIFU!

Swali:
  • SI unakumbuka staili ya kumuelewa MWALIMU inaweza kukupasisha mtihani ikiwa hata mwalimu katika kuelewa alikosea kuelewa kama wewe?
Au tu Quincy Jones atekenye hali ya hewa kwa kitu-Soul Bossa Nova

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 2:16 pm  

Mimi sio mtaalamu wa maneno matakatifu, lakini kila mtu hutafsiri kuvutia imani yake, si wajua waumini ndio wanamfanya pastor aweze kuishi, au hujui kuwa kuwa kasisi au mchungaji ni ajira...

Simon Kitururu 4:52 pm  

@Mkuu CHIB: Imani kazi kweli kwa kuwa ni imani na wala sio trekta!


Si ndio maana kuna Mijitu yenye akili kinoma inaona Ng'ombe ni aina ya Mungu inavyoshangawa na wasioona kabisa wao Mungu?:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP