Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HOTUBA ZA NYERERE kwa DADA SUBI!

>> Tuesday, October 13, 2009

Kwa wale ambao wamekuwa wakiulizia na kutamani kusikia hotuba za Hayati, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere, baadhi ya hutuba hizo nimezifufua linki zake na zinasikika vyema, na video moja inaonekana vyema. Atakayekwama anifahamishe nitajitahidi kurekebisha kadiri niwezavyo.

  • Hotuba aliyoitoa Kilimanjaro Hotel (sasa Kempinski) - audio parts 1 - 3.
  • Hotuba aliyoitoa Dodoma - video
  • Hotuba kadhaa na Wasifu wa Mwalimu ulioandikwa na Fr. Wille - text
Karibuni!

Subi, nukta77!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

John Mwaipopo 6:37 pm  

nilikuwa najaribu sehemu ya kutoa ama kusoma maoni nikaona 'kommenttia' ndo nkajua ndo 'comment'. aah viluga bwana!

sasa tutapata kumjua nyerere kwa sura zake anuai. anuai kwani tofauti na watanzania wengine ambao hudhani nyerere alikuwa nusu mungu, mie najua alikuwa binadamu mwenye umakini na makosa pia, kama ambavyo hata yeye mwenyewe ashakiri utawala wake kuwa na mabaya ambayo hakupenda kuona warithi wake wameyachukua. alisema "ubaya wenu mnachukua mabaya na mnaacha mazuri"

Simon Kitururu 10:15 pm  

@John: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP