Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Udhaifu wa KIKUMBUKWACHO kwenye SALA!

>> Monday, October 12, 2009

Tatizo la udhaifu wa sala,....
... ni kwakuwa LABDA mtu ahitajicho hakiko kwenye SALA!

Na chaajabu za sala,....
..... labda jibu lake liko katika usichojibiwa kwenye sala!


Swali:
  • Kama wewe ni muombaji si umeshastukia ni kawaida sala kutojibiwa?


HILI NI WAZO TU Mkuu!

Au ngojea niongelee kitu kingine....


Au tu ngojea Rose Mhando afafanue ya kuhusu MOLA katika kitu kiitwacho -Mungu wangu


Au tu isemekanaye ni Michael Jackson amshukuru tena MOLA katika kibao -Give thanx to Allah

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:42 pm  

Ahsante sana nilikuwa sijawaza hili. Ila ninaamini kitu fulani

chib 2:25 pm  

Wenye imani zao watakuambiwa huwa zinajibiwa, lakini si wakati huohuo

Simon Kitururu 4:45 pm  

@Yasinta: :-)
@Mkuu CHIB: Na wasiwasi wengi wao hubadili tu mtazamo wa nini waliomba kulioanisha na nini ndio kimejitokeza kuwa jibu la Sala!

Na kwa bahati mbaya labda sala nyingine zinachelewa kujibiwa ndio maana hata wasalio wanakufa!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP