Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kunauwezekano sababu kubwa ya kufuata KIONGOZI ni uvivu na ukosaji wa UBUNIFU wa MUELEKEO tofauti!:-(

>> Friday, October 23, 2009

Ndio,...
.... kuna mambo ni TAKO na sio KICHWA ndio kiongozi!
Swali:
  • Si unajua kuna mambo huhitaji tako ingawa una kichwa?
  • Kwani unafikiri kiongozi ni yule aliyetangulia?
  • Kwani hujastukia kuna vitu wewe ndiye mahiri na unajua hilo lakini wote tunajua sio wewe kwenye hilo ndiye atuongozaye kwa sababu bulicheka?
  • Lakini si unajua pamoja na yote kuna kitu utake usitake kwa watu fulani wewe ndiye KIONGOZI?
NI WAZO tu hili KIJEBA na wala usitishike USIPOELEWA!
IJUMAA na WIKIENDI NJEMA Mheshimiwa!

Hebu DOGO aonyeshe maringo yake dingilidingili mpaka chini kiduchu...


Au ngojea Dre na Snoop DOGG watupe tena pambio zilipendwa iitwayo -Still Dre



Au tu Usher atuimbie naye tena pambio zilipendwa-Pop ya Collar

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:18 pm  

Ama kweli Kazi ipo!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 5:25 pm  

ndio na yawezekana unajua stairi ya kihaya kuliko wahaya wakati wewe ni chotara wa kikurya na mpare.

swali; unabisha?

Fadhy Mtanga 5:53 pm  

Ebwana bonge la kinyundo!

Simon Kitururu 3:10 pm  

@Dada Yasinta: Ama kweli indeed!:-)
@Mkuu Kamala: :-)
@Papaa Fadhy: Duh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP