Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati NYONYO ni MKEBE!

>> Monday, October 12, 2009

Ingawa mpaka siri ya PENSELI ni KICHONGEO,...
....kumbuka kabla hujafikiria ya kwenye MKEBE, labda jaribu kukumbuka mkebe hutunzwa na mfuko na ingawa MFUKO una mkebe labda HUO MFUKO ulinunuliwa katika kumbukumbu umuhimu wake unatokana na kwamba msomi ANA MADAFUTARI!:-(
Na wakati unajivunia PENSELI kwakuwa kwa kuzaliwa huna KICHONGEO,...
...kumbuka kuna waandikiao na PENI ingawa penseli ipo na katika MCHARAZO hawahitaji KIFUTIO kwenye DAFUTARI!

NAACHA WAZO na haki yanani tena kama hunielewi wala usitishike kwa kuwa katika YOTE ya kuelewa LABDA HILI HUHITAJI KULIELEWA!:-(

Swali:
  • AU?
Ngojea nimuachie TIPPA IRIE katika dubplate..


Au tu BUJU BANTON akiwa na Nadine Sutherland adai- What Am I Gonna Do

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP