Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Busara za SEBULENI , zikifanana na za CHOONI!

>> Wednesday, October 14, 2009

Hakuna kifanyikacho CHOONI ,...
... KUJISAIDIA IKIWEMO kishindikanacho kufanyika SEBULENI.


Na inasemekana ingawa kuna watoto watukutu SEBULENI,...
... kwa kawaida hao wana adabu kweli wakiwa peke yao CHOONI!

Na kwa washangaao ya CHOONI,....
... yakifanyika sebuleni LABDA wakumbushe tu ni kichwa hichohicho chenye ubongo utambuayo YOTE MAISHANI kishuhudiayo mpaka ya BAFUNI, jikoni, migombani, na....... kwa kuwa KIMEMNG'ANG'ANI aliyenacho popote aendako ikiwemo CHOONI na hata SEBULENI!


Na busara fulani kama unazifananisha na za CHOONI,...
..... kumbuka tu kama nyumba imejengwa bomba na weye bomba la msafi JIKO laweza kuwa SEBULENI na chooni HAKUTAKUWA tofauti sana kiusafi na kimazingira na SEBULENI!

NI WAZO TU MHESHIMIWA na wala huhitajiki KULIELEWA!:-(

SWALI:
  • Kwani hujalielewa?



Ngojea tumrudie huyu Msauzi CAIPHUS SEMENYA atunyolishie ampendaye-Angelina

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP