Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo lijitokezalo UKIJAMBA kwa bahati MBAYA!

>> Friday, October 09, 2009

Kama unakumbuka na KUFIKIRIA UJAZO wa kijambo kiunyonge,...
..... kunauwezekano UMEJAMBA kwa bahati mbaya HADHARANI na umesahau kuwa WAHESHIMIWA WOTE WALIOPO ni WAJAMBAJI na labda MMOJA ALIJAMBA KIDOOOOGO kabla YAKO halafu MAKUSUDI!:-(


Swali:
  • Unakumbuka ukishindwa kujamba WAKATI UNAHITAJI KUJAMBA ni tatizo lihitajilo hospitali fulani?
  • Ushastukia huwa unastukia na kukumbuka vizuri tu UMEJAMBA KWA BAHATI MBAYA wakati watu wengine wamekuzunguka UKIFANIKISHA?

  • Unakumbuka kwa binadamu asilimia kubwa ya vijambo vyote hata wamjambiavyo MPENZI kabla naye HAJALALA hufanyika bila KUKUSUDIA?

  • Unakumbuka kwa kujaribu kuzuia ushuzi ambao lazima utoke kwa kusikika PUUUUUUU unauongezea harufu kwa KUUBANA NA kuufanya utoke SHIIIIIIII tusisikie mheshimiwa umepumulia tako?

Kwa kifupi kama huelewi bado naongelea nini:
  • Unajua kuwa kama ni hakika unaharibu unakumbuka ujanja kama hutaki usistukiwe unaharibu sio kujifanya unaficha unavyoharibu?
  • Umenielewa?

NAACHA!







Hebu I -wayne adai-I need HER in my ARMS


Au tu I wayne adinishe tena kwa kuongelea- Life Seeds


Au tu ngojea naye MWANADADA AMSHINDE kwa kuwa -Can't satisfy HER

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:34 pm  

Ijumaa njema Simon na naona ujumbe umetulitulia na wengi umewafikia. Asante!!!

chib 7:54 pm  

:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP