Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umefanikiwa KUDANGANYA MTU leo ?

>> Thursday, October 29, 2009

[Tahadhari: Katika taralira HII Sentensi NI ndefu na pointi ujazo wake NI nukta!:-(]

Dunia imejaa uongo na dalili zenyewe waweza kuzistukia kama umestukia kuna WATU wanajipodoa,...
......kwa kuwa TUKITAFSIRI KINAMNA , ajipodoaye anataka tu kukudanganya kuhusu halihalisi ya UNYORORO wa yake NGOZI.

Na wengi kama mavazi yao UTAYAONDOA,....
...unaweza kustukia mpaka MREMBO KITOVU saizi KIBUYU , idaiwavyo KATIKA REDIO ZA MBAO ni kwamba ana KITOVU SAIZI YA JIPU DOGO , wakati labda HATHARI ZA KITOVU saizi KIBUYU ndio vimfanyavyo MHESHIMIWA JAMAA mpaka LINAVAA jeans aina DENGRISI, yote IKIWA ni katika kubana ukubwa wa ngumi wa KITOVU , na kwa hilo la SAIZI ya ngumi laweza mpaka kukufanya UKARIDHIKA NALO angalau ukisikia MHESHIMIWA mwenye KITOVU SAIZI NGUMI ,anakitetea kwa KUREMBA TETEZI kwa kudanganya LAKINI bila kupunguza ukubwa wa tovu MPAKA ufikie saizi ya jipu kwa kudai anakitovu SAIZI ya KONZI.


Na kwa kuwa jamii haipendi WAHESHIMIWA heshima zao tuzitie MADOA,....
....haki ya nani mpaka UBONGO unaweza usistukie Mheshimiwa anatudanganya tu na sketi ndefu tusione kwenye MIGUU ana BOMBA LA TEGE , na KIHESHIMA uongo wote wa matendo ya watu ili tusistukie ukweli twaweza kuuita ni MATENDO YA KUTUSAHAULISHA KUSTUKIA UKWELI , ingawa UKWELI uko palepale kuwa KWA ASHUHUDIAYE hata swala la kuwa MHESHIMIWA KABANJA , kumbuka tu KWAMBA kila abanjae hata awe maridadi kivipi huyo anajua utamu wa kamasi NI NINI hata kama kilichoshuhudiwa KWAKO baada ya yeye KUBANJA SIO KULAMBA KAMASI ila ni staili yake TU ya kutema KOOOZI.:-(

Swali:
  • Kwa hiyo sasa hivi MATENDO na MUONEKANO wako bado HUAMINI labda TU yana lengo LA kutudanganya TUSISTUKIE UDHAIFU WAKO NI NINI, au wewe ndio uridhikaye tukidai unajaribu kutusahaulisha tusistukie staili ya kunuka jasho kwako ni IPI kwa kuwa una bomba la PAFYUMU na kwa hiyo kwa HILO hutudanganyi?
  • Kwani UNATAKA KUSEMA hujui KUDANGANYA kwingi kwa watu hakutumiii maneno?

MHESHIMIWA nimeacha WAZO hili NYOKO!


Au tuliza mshawasha kwa Steel Drums wimbo- Sweat(A la la long)


Au tu Inner Circle wenyewe waje live na wimbo huo huo-Sweat(A lala long)


Au tu Big Mountain wadai tu nao-Baby I love Ur WAY

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP