Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Punyeto ya UBONGO!

>> Wednesday, October 28, 2009

Kuna UWEZEKANO kabisa kuwa,....
.....kila mtu kwa siku hutumia asilimia MIA ya wake UBONGO!

Na inawezekana kuwa,....
.......kwa kuzimia UBONGO wa profesa wa MAPISHI kwa kuwa chakula chake ndicho tukionacho na ni kitamu, WATU hujisahau muosha SUFURIA labda kwa hilo NI PROFESA wa UOSHAJI na SI UPIKAJI na ni JINIASI kwa usuguaji SUFURIA/Chungu kwa kutumia majivu na katani kwa hilo UKIANGALIA atumiavyo UBONGO.


Na INAWEZEKANA kuwa,....
..... ni jinsi TU ya kubalansi MTU ATUMIAVYO ubongo kufanyako wengine wadhani kunawasiotumia UBONGO.
Ubongo NI kitu cha ajabu kwa kuwa,....
.....ndicho kikusababishacho ustukie una UBONGO.

Na kwa kuwa ,.....
.... UBONGO haulali, ndio maana ni kiranja MPAKA wa mapigo ya MOYO na yote afanyayo BINADAMU hata bila ya kujijua anatumia UBONGO..


Na kuna maswali MENGI kuhusu ni asilimia ngapi ya UBONGO binadamu atumiayo.....

Na tujuacho ni kwamba ni asilimia chache tu Binadamu tujuazo kuhusu UBONGO........
Na kunauwezekano kabisa Profesa wa HISABATI na Hausiboi KIBAKA anayekuonjea kwa siri mke wako bila wewe kujua kwa ufanisi WANATUMIA nguvu sawa KIUBONGO kufanikisha KALIKULESHENI za kufanikisha zao fani.....

....Endeleza Mental masturbation/Punyeto ya UBONGO kwa kumsoma ROBYNNE BOYD katika banangenge aiitayo -

Do People Only Use 10 Percent Of Their Brains?



....kama alivyoiandika kwenye http://www.scientificamerican.com kwa kukongoli HAPA


....astue hoja zenye mistari ijaziazo ndude ....
....Adding to that mystery is the contention that humans "only" employ 10 percent of their brain. If only regular folk could tap that other 90 percent, they too could become savants who remember π to the twenty-thousandth decimal place or perhaps even have telekinetic powers.


Au tu adai.....
.....Another mystery hidden within our crinkled cortices is that out of all the brain's cells, only 10 percent are neurons; the other 90 percent are glial cells, which encapsulate and support neurons, but whose function remains largely unknown.


SAMAHANI kwa kudesa MITAZAMO YA MTU MWINGINE katika kujaribu kukupigisha punyeto ya UBONGO kama wewe ni mpenda kutekenya UBONGO.:-(


Au tu tubadili hali ya hewa na kuwasikiliza Oliver Mtukudzi & Ringo Madlingozi wakileta kitu-Into Yami



AU tu unaweza kuangalia mazoezi kama yalivyodakwa na sexy cam katika-Sexy Aerobics

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP