Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hasa kabla hujachunguza KAZI ya KIDAKA TONGE!

>> Thursday, October 22, 2009

Kwa kuwa tunajua kwa kupiga MSWAKI kuna kitu UNAJUA ndio MAANA unashughulikia MENO na ULIMI kwa kuwa umestukia umuhimu wake kwenye KUGIDA mlo,...

... basi labda katika KUGIDA inabidi TUASHUMU a.k.a tuhisi unajua si muhimu sana kama tayari unajua utakacho kukila sio sumu KUKILAMBA.:-(
Swali:
  • AU?

Lakini kumbuka kama kwako ni muhimu kugida MLO,...
..... janja ya mdomo si kulainisha tu MGIDO ,bali pia NA kulengesha chakula tumboni na hapo ndio utastukia kuna MGAMBO kidaka tonge kama hutaki KUPALIWA a.k.a KUKOLISWA (kwa kilugha), kama umezidisha bugio zaidi katika shughuli ZA baada ya KULAMBA.

Swali:
  • Kwani hujastukia mara kibao janja ya MENEJA yaweza kuwa ni sekretari NA mesenja?
  • AU?
  • Wakati unafanya shopingi za mdomo ushawahi kufikiria yafanywayo na mdomo engi yanakihusu pia KIDAKA TONGE?
  • Hivi unakijua kidaka tonge ni NINI?

NI WAZO tu Mheshimiwa na labda ujumbe wake SAIZI KIPELE, kwa hiyo usitishike sana USIPOELEWA namaanisha nini HAPA katika hii DOZI!

Hebu Barrington Levy atupe kitu-Vice VERSA LOVE


Au tu Vybz Kartel aongelee tu -LOVE

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP