Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo UKISHAONJA inabadilika UTAMU!:-(

>> Friday, October 09, 2009

Mara karibu zote SABABU kubwa unataka kwanza kuonja,....
... ni kwa sababu AKILINI ushahisi ni nini aina yake ya UTAMU!:-(


Na kumbuka KITU ukishakionja,....
.... ndio basi tena kwa kuwa AKILINI ndio ushalemaza tena LADHA ya hicho kitu hata kama sio KITAMU!:-(


Na ni tatizo kubwa kiladha ,UBONGO ukishakuaminisha kuhusu ladha ya ulichoonja,...
....kwa kuwa utajikuta huhitaji tena kuonja uchungu wa KLOROKWINI wakati unatibu MALARIA ili uhisi uchungu wa kidonge na waweza kuhisi uchungu au kujisikia mpaka KUTAPIKA kwa kutajiwa JINA TU LA KIDUDE ambacho labda chungu yake imevalishwa tayari KIJAMBA KOTI ingawa labda leo sambusa imeoshwa na wala hainuki KIUTAMU!:-(


Swali:
  • Unakumbuka ubwabwa huohuo unaladha tofauti ukiwa na njaa hasa kama ulipouonja ulikuwa umeshiba?
  • Umestukia onjo la kwanza hata la PEPSI linatofauti na onjo la sita ingawa BILAURI YA PEPSI ni ileile?
NIMEACHA!

Hebu basi QUEEN IFRICA aongelee swala la kusikitishwa la binti aliyeonjwa na baba yake katika- DADDY


Au tu Queen Ifrica aendelee kufafanua katika kitu-No LOVE AGAIN

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP