Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ni UTAALAMU kwa mwenye MDOMO na awezaye KUFANYA MATENDO kufikia idaiwe ANAHESHIMA !

>> Monday, October 26, 2009

Haki YA NANI VILE , kama katika maisha unafikiria mpaka HESHIMA ,...
... ufanyacho ni ANASA ingawa unaruhusiwa MHESHIMIWA hata KWA HILO kunibishia tu!


Na HAKI YA NANI TENA VILE, kama katika yote wewe umefikia MPAKA kufikiria HESHIMA,....
....basi KUNAUWEZEKANO wewe maishani kuna MAMBO LUKUKI umetatua NAKUYAFIKIA na LABDA HATA kwa kuheshimu wengine, NI WEWE TU uliyefikia mpaka KUHITAJI uheshimiwe tu!:-(


HESHIMA na kukosa HESHIMA,...
..... vyote ni kutokana na MTU amjuavyo MHUSIKA tu!:-(

Na hata bisha USIBISHE, ukijua sana vya ajulikanaye kwa kuwa na HESHIMA,...
..... utakuwa tu unashangaa kwanini BWANYENYE anaitwa MHESHIMIWA, na kwa hilo halibadili kuwa AITWAYE MHESHIMIWA aheshimiwako LABDA sio alambako visivyolambwa CHOBISI tu!:-(

Na uheshimiwa NI bomba la nyoko HASA kama kukosa kwako HESHIMA,...
....KIBONGE hujastukia, NA eti NA WEYE BINGWA nawe WAJARIBU KUFANYA mpaka uvikoseavyo adabu visimi ETI navyo NI SIRI tu!


NI HILO TU MHESHIMIWA USTAHILIYE HESHIMA na HATA pia weye MHESHIMIWA Ajuza!

Swali:
  • Si unajua kama TU kuvulia mtu nguo si HESHIMA, mheshimiwa akijuliwa inawezekana ni bomba la mvuaji mpaka kondomu za tendo katikati ya tendo?

  • Unafikiri usingekuwa umekuja kiwanjani na fikira MHESHIMIWA anaheshimika, ungekumbuka MHESHIMIWA ni MHESHIMIWA?

  • SI unakumbuka udhaniaye hana HESHIMA kuna kitu anakiheshimu kweli na labda wala HICHO PIA pamoja na yote , BADO NACHO sio PILIPILI kichaa?

NIMEACHA WAZO Mheshimiwa!
Kumbuka kuchekelea KANYAU HAPA ni RUKSA ikibidi!

Hebu basi ETANA atupe busara katika kitu- Wrong ADDRESS


AU tu Tracy CHAPMAN atupe kitu-New Beginning






Nipo! Ingawa LABDA ngojea niombe msamaha kwa WOTE niliowatenga CHOBISI hivi karibuni:-(
....Ni kweli nipo kama tu picha zisizo na sababu muhimu ya kuwekwa hapa kijiweni zikodoleavyo maning'ining'i..


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket










Au tu ngojea Gloria Estefan na CELINE DION wakune kipele kwa pambio iitwayo-Conga

Au tuovadozi tu kwa Gloria Estefan akiongezea kidonge-Rhythm is gonna GET U

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 7:31 pm  

Mtakatifu hayo mabilauri balaa. Leo umenikuna na sekta ya misosi.
Halafu hayo mavitu kama ya mkali Tracy Chapman ndo kubwa kubwa kubwa kuliko!

Simon Kitururu 7:57 pm  

@Askofu Fadhy: Bilauri za sakramenti ni matatizo tu kinamna!:-(

Maswala ya Tracy si ya utani kama unasikio!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP